Shaffer Chimere Smith (amezaliwa tar. 18 Oktoba 1979)[2] ni mwimbaji, mtunzi, mtyarishaji, mnenguaji, mwigizaji na pia rapa kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ne-Yo. Yeye ni Mwafro-Asia ambaye amechanganya kati ya Mmarekani Mweusi (baba) na Mchina-Mweusi (mama).

Ne-Yo
Ne-Yo mnamo Januari 2013
Ne-Yo mnamo Januari 2013
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwaShaffer Chimere Smith
Amezaliwa18 Oktoba 1979 (1979-10-18) (umri 44) [1]
Asili yakeCamden, Arkansas|Camden, Arkansas, Marekani
Aina ya muzikiSoul R&B, pop, hip hop, pop dansi, neo soul
Kazi yakeMtunzi, mwimbaji, mtayarishaji wa rekodi, rapa, mnenguaji, mwigizaji
Miaka ya kazi1999–hadi leo
StudioDef Jam
Ame/Wameshirikiana naRihanna
TovutiTovuti yake rasmi

Wasifu hariri

Maisha ya awali hariri

Muziki hariri

Albamu zake hariri

Makala kuu ya: Albamu za Ne-Yo

Filamu hariri

Filamu za kawaida hariri

Mwonekano wake katika TV hariri

  • Las Vegas (2008)
  • All My Children (2008)

Maelezo hariri

Marejeo hariri

  1. http://www.contactmusic.com/ne-yo/
  2. Tavis Smiley (original airdate 23 Juni 2008 on PBS). Interview with Ne-Yo. Archived 21 Oktoba 2008 at the Wayback Machine. Accessed 9 Septemba 2008.

Viungo vya nje hariri


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ne-Yo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: