Wayback Machine
Wayback Machine ni tovuti ambayo inatunza kurasa za tovuti za zamani. Inaruhusu kuangalia tovuti ambazo haziko tena au kuangalia maudhui ambayo yamebadilishwa tayari.
Tovuti hiyo hutumia programu za crawler zinazopitia intaneti mara kwa mara na kufanya nakalA za tovuti zinazohifadhiwa kwenye seva ya Wayback Machine. Haitunzi tovuti zote wala mabadiliko yote.
Wayback Machine ilianzishwa mnamo Oktoba 2001 kama sehemu ya Internet Archive ikipatikana kupitia anwani yake.[1] [2]
Marejeo hariri
- ↑ "Internet Archive launches WayBack Machine". Online Burma Library. 2001-10-25. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-24. Iliwekwa mnamo 2016-03-13.
- ↑ "The Internet Archive: Building an 'Internet Library'". Internet Archive. 2001-11-30. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo November 30, 2001. Iliwekwa mnamo 2016-03-14. Check date values in:
|archivedate=
(help)
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLeonard MbotelaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKimbungaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaKumaNembo ya TanzaniaShairiMustafa MkuloAmri KumiFasihi simuliziKiswahiliAina za manenoVita Kuu ya Pili ya DuniaMtaalaMaalum:MabadalikoyaKaribuniMaumivu ya kiunoKamusi za KiswahiliOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaVitendawiliOrodha ya Watakatifu WakristoUpendoChristina ShushoMafurikoHistoria ya KanisaDiamond PlatnumzJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya nchi za AfrikaKamusi ya Kiswahili sanifuKinembe (anatomia)KisaweLughaFasihiTendo la ndoaKamusi