Georginio Wijnaldum
mchezaji soka wa Uholanzi
Georginio Wijnaldum (alizaliwa 11 Novemba 1990) ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool FC na timu ya taifa ya Uholanzi.
Alipata tuzo ya Mchezaji wa Uholanzi wa Mwaka wakati akiwa PSV.
Mwaka 2015, Wijnaldum alijiunga na Newcastle United kwa £ milioni 14.5, baadae aliondoka na kusaini mkataba wa miaka mitano na Liverpool FC kwa £ milioni 23. Aliisaidia nchi yake katika Kombe la Dunia la FIFA 2014.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Georginio Wijnaldum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaZuhura YunusShairiKamusi za KiswahiliNikki wa PiliMshororoNahauTanzaniaAina za manenoOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya makabila ya TanzaniaNembo ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaFasihi simuliziJumuiya ya Afrika MasharikiNominoDiamond PlatnumzTamthiliaSentensiKumaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNgeliKalenda ya KiislamuKisaweUandishi wa inshaFasihiVivumishiMaumivu ya kiunoMisemoInsha ya wasifuAlama ya uakifishajiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMapenzi ya jinsia mojaVitendawiliMadawa ya kulevyaVitenzi vishirikishi vikamilifuKamusi