Edward Norton

Edward Harrison Norton (amezaliwa tar. 18 Agosti 1969)[1] ni mshindi wa Tuzo ya Akademi na Golden Globe kwa mwaka wa 1997, akiwa kama mwigizaji na mtayarishaji bora wa filamu wa Kimarekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza katika filamu ya Primal Fear, American History X, Fight Club, The Italian Job, na The Incredible Hulk.

Edward Norton

Ed Norton, mnamo 2009
AmezaliwaEdward Harrison Norton
18 Agosti 1969 (1969-08-18) (umri 54)
Boston, Massachusetts, Marekani Marekani
Kazi yakeMwigizaji
Mwongozaji
Mtayarishaji
Miaka ya kazi1993-hadi leo
NdoaShauna Robertson (2012)
Watoto2

Marejeo

hariri
  1. "Edward Norton - Frequently Asked Questions". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-04-18. Iliwekwa mnamo 2006-12-19.

Viungo vya nje

hariri
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edward Norton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.