Boris Yeltsin
Boris Nikolayevich Yeltsin (kwa herufi za Kirusi: Бори́с Никола́евич Е́льцин sikiliza ?; 1 Februari 1931 - 23 Aprili 2007) alikuwa rais wa kwanza wa Urusi baada ya mwisho wa ukomunisti.
Alitumikia taifa la Urusi kuanzia mwaka 1991 hadi 1999. Mikhail Gorbachev, alimtangulia Boris, wakati huo Urusi iliitwa Umoja wa Kisovyeti. Vladimir Putin amekuja baada ya Boris.
Boris Yeltsin alifariki dunia kwa ugonjwa wa moyo tarehe 23 Aprili mwaka 2007.
Viungo vya nje hariri
- Obituary and public tributes on Lasting Tribute Archived 23 Desemba 2007 at the Wayback Machine.
- CNN Cold War — Profile: Boris Nikolayevich Yeltsin Archived 13 Juni 2008 at the Wayback Machine.
- Death of a Bear- Hammernews
- The Good Czar The Strange Nobility of Boris Yeltsin
- Shughuli au kuhusu Boris Yeltsin katika maktaba ya WorldCat catalog
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Boris Yeltsin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoMuungano wa Tanganyika na ZanzibarShukuru KawambwaFasihi simuliziShairiNembo ya TanzaniaAina za manenoMofimuVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaTarakilishiKamusi za KiswahiliOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaTanzaniaMikoa ya TanzaniaKitenziJamii:Wilaya za Mkoa wa Dar es SalaamApril JacksonSilabiJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiJamii:Wilaya za Mkoa wa ArushaVieleziOrodha ya makabila ya TanzaniaFasihiKumaChristopher MtikilaHalmashauriMshororoKigezo:Kata za Wilaya ya IlalaMaudhuiViwakilishiVitendawiliKiswahiliNominoFasihi andishiMfumo wa mmeng'enyo wa chakula