Mateo Kovacic
ni mchezaji wa timu ya taifa ya coratia na mchezaji katika klabu ya Chelsea FC
Mateo Kovačić (alizaliwa 6 Mei 1994) ni mchezaji wa soka wa Kroatia ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uingereza Chelsea na timu ya taifa ya Kroatia.
Kovacic alianza kazi yake huko Dinamo Zagreb akiwa na umri wa miaka 16, ambapo aliisaidia timu yake kushinda makombe mawili ya ligi mfululizo kabla ya kujiunga na Internazionale Milano mwaka 2013.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mateo Kovacic kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNahauWafiadini wa UgandaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNembo ya TanzaniaKamusi za KiswahiliAina za manenoNgeliKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaTamthiliaMshororoUandishi wa ripotiVivumishiNominoFasihi simuliziKarolo LwangaInsha ya wasifuOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKisaweSilabiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaHifadhi ya mazingiraDiamond PlatnumzMisemoJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiKitenzi kishirikishiMazingiraKombe la FA TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUandishi wa inshaMaumivu ya kiuno