Yassine Meriah
Mchezaji wa soka wa Tunisia
Yassine Meriah (alizaliwa 2 Julai 1993) ni mchezaji wa soka wa Tunisia ambaye anacheza katika klabu ya Olympiacos kama beki.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f4/Yassine_Meriah_2018.jpg/220px-Yassine_Meriah_2018.jpg)
Olympiacos
haririTarehe 28 Julai 2018, Meriah alijiunga na klabu ya Olympiacos kwa wastani wa ada ya uhamisho ya € 1,500,000, akisaini mkataba wa miaka minne.
Mnamo 2 Septemba 2018, alifunga goli lake la kwanza katika klabu hiyo katika mchezo ambao walifungwa wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani dhidi ya PAS Giannina.
![]() | Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yassine Meriah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSilvestry Fransis KokaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaKumaClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMbooAina za manenoShairiVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaVichekeshoYoung Africans S.C.Mpira wa miguuOrodha ya nchi za AfrikaUandishi wa ripotiMaalum:MabadalikoyaKaribuniOrodha ya Marais wa ZanzibarTendo la ndoaMapenziNominoKamusi za KiswahiliEe Mungu Nguvu YetuSimba S.C.Hifadhi ya mazingiraHurumaMisemoJulius NyerereOrodha ya vitabu vya BibliaBaraza la Maaskofu Katoliki Tanzania