VfL Bochum

VfL Bochum ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko katika mji wa Bochum, Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Klabu hiyo imecheza misimu 35 kwenye ligi ya Bundesliga.[1]

Nembo ya klabu ya VfL Bochum

Historia hariri

VfL Bochum ni moja ya mashirika ya zamani ya michezo duniani. Ilianzishwa rasmi tarehe 18 Februari 1849. Klabu hii ilipigwa marufuku tarehe 28 Desemba 1852 kwa sababu za kisiasa, na kisha kurejeshwa mnamo 19 Juni 1860. Klabu hii ilipangwa upya mwaka 1904 na kujulikana kama Turnverein zu Bochum. Mnamo 31 Januari 1911 iliundwa idara ya mpira wa miguu na kuungana na Turn- und Sport Bochum 1908 pamoja na Sportverein Germania Vorwärts Bochum 1906 na kutengeneza jina moja la timu linalojulikana hadi sasa VfL Bochum.[2][3]

Marejeo hariri

  1. "Historie". VfL Bochum official website (kwa Kijerumani). VfL Bochum. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-11-01. Iliwekwa mnamo 13 Aprili 2010. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Historie / Chronologie". VfL Bochum tovuti (kwa Kijerumani). VfL Bochum. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Agosti 2012. Iliwekwa mnamo 13 Aprili 2010. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Grüne, Hardy (2001). Vereinslexikon. Kassel: AGON Sportverlag ISBN 3-89784-147-9
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu VfL Bochum kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.