Sonora (jimbo)
Sonora ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kaskazini-magharibi ya nchi. Iko pwani la Ghuba ya California (au Bahari ya Cortez). Mji mkuu na mji mkubwa ni Hermosillo.
Jimbo lina wakazi wapatao 2,394,861 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 182,052.
Imepakana na Marekani (Arizona na New Mexico), Chihuahua, Sinaloa na Baja California.
Gavana wa jimbo ni Eduardo Bours Castelo.
Lugha rasmi ni Kihispania.
Miji Mikubwa hariri
- Hermosillo (641,791)
- Ciudad Obregón (265,000)
- Nogales (159.787)
- San Luis Río Colorado (145,006)
- Navojoa (140.650)
Viungo vya Nje hariri
- (Kihispania) Estado de Sonora Sitio oficial Archived 6 Aprili 1997 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sonora (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiNembo ya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMV BukobaVivumishiMshororoAina za manenoMikoa ya TanzaniaJumuiya ya Afrika MasharikiTamthiliaTanzaniaFasihi simuliziKamusi za KiswahiliVitenzi vishirikishi vikamilifuInsha ya wasifuMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUandishi wa ripotiSentensiAlama ya uakifishajiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNgeliMisemoKitenzi kishirikishiSilabiTarakilishiMaumivu ya kiunoLughaVitendawiliMaudhuiKumaMaalum:MabadalikoyaKaribuniViwakilishiOrodha ya makabila ya TanzaniaKamusiFasihiUandishi wa insha