Shirikisho la vyombo vya habari
Shirikisho la vyombo vya habari inaelezea makampuni yanayomiliki idadi kubwa ya makampuni katika nyanja mbalimbali za vyombo vya habari kama vile televisheni, redio, uchapishaji, filamu, na hata Intaneti. Pia hutajwa kama asasi ya vyombo vya habari au kundi la vyombo vya habari.
Kwa mwaka wa 2008, The Walt Disney Company imekuwa moja kati ya kamupni za shirikisho la vyombo vya habari zilizo kubwa zaidi duniani, ikiwa ni pamoja na News Corporation, Viacom na Time Warner.[1][2].
Tanbihi
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2010-09-16. Iliwekwa mnamo 2010-04-10.
- ↑ "News Corporation - Annual Report 2007". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-29. Iliwekwa mnamo 2010-04-10.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSiku ya Mtoto wa AfrikaNikki wa PiliShairiSiku ya ArafahNembo ya TanzaniaKumaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMshororoJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniSimba S.C.Zuhura YunusUandishi wa ripotiSentensiFasihi simuliziMaumivu ya kiunoKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaBaraAina za manenoOrodha ya nchi za AfrikaKalenda ya KiislamuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaJohn MagufuliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaTendo la ndoaHistoria ya KanisaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMbooVivumishiDiamond Platnumz