Saint Lucia
Saint Lucia ni nchi ya kisiwani katika bahari ya Karibi na sehemu ya visiwa vya Antili Ndogo. Iko katikati ya visiwa vya Saint Vincent na Grenadini, Barbados na Martinique.
Saint Lucia |
---|
Kisiwa kina milima mingi.
Watu hariri
Wakazi walio wengi ni wa asili ya Afrika (70.3%) au machotara Waafrika-Wazungu (10.8%) na Waafrika-Wahindi (10%).
Lugha rasmi ni Kiingereza, lakini wananchi wengi (95%) wanaongea kwa kawaida Patwah, Krioli inayotokana na Kifaransa.
Upande wa dini, wengi ni Wakristo: 70% ni Wakatoliki, 7% Waadventista Wasabato, 6% Wapentekoste, n.k.
Tazama pia hariri
Viungo vya nje hariri
- Official website of the Government of Saint Lucia
- Chief of State and Cabinet Members Archived 26 Oktoba 2009 at the Wayback Machine.
- Saint Lucia entry at The World Factbook
- Saint Lucia Archived 17 Februari 2009 at the Wayback Machine. from UCB Libraries GovPubs
- Saint Lucia katika Open Directory Project
- St Lucia from the BBC News
- Wikimedia Atlas of Saint Lucia
- Key Development Forecasts for Saint Lucia from International Futures
- Guide to the island of St. Lucia Archived 11 Julai 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint Lucia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoKimbungaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaFasihi simuliziAina za manenoNembo ya TanzaniaShairiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaVivumishiMikoa ya TanzaniaTanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKamusi za KiswahiliJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya makabila ya TanzaniaKumaKiswahiliSimba S.C.Diamond PlatnumzKamusiMofimuKamusi ya Kiswahili sanifuTufaniTanganyikaMaumivu ya kiunoNominoLughaMwenge wa UhuruChristina ShushoSentensiSilabiVieleziMapenziMshororoVitendawiliOrodha ya Marais wa UgandaMafuriko