Rachel Weisz

Rachel Hannah Weisz (amezaliwa tar. 7 Machi 1970) ni mshindi wa Tuzo ya Academy akiwa kama mwigizaji bora filamu wa kike kutoka nchini Uingereza. Amenza kujipatia umaarufu baada ya kucheza katika filamu za Hollywood-The Mummy na The Mummy Returns, na tangu hapo akawa anaendelea kushiriki katika sehemu kubwa-kubwa za filamu.

Rachel Weisz
Rachel Weisz
Rachel Weisz
Jina la kuzaliwaRachel Hannah Weisz
Alizaliwa7 Machi 1970, London
Uingereza
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi1993 – hadi leo

Viungo vya nje

hariri
WikiMedia Commons


Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rachel Weisz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.