Majimbo na maeneo ya Australia

Kigezo:Australiamap

Hii ni orodha ya majimbo na maeneo ya Australia:

Orodha

hariri
Majimbo na maeneo ya Australia
BenderaJina ya Jimbo/EneoISO[1]PostaTypeMji mkuuWakaziEneo (km²)
Visiwa vya Ashmore na Cartiereneo ya ng'ambo(West Islet)0199
Australian Capital TerritoryAU-ACTACTeneoCanberra344,2002,358
Kisiwa cha KrismasiCXeneo ya ng'amboFlying Fish Cove1,493135
Visiwa vya Cocos (Keeling)CCeneo ya ng'amboKisiwa cha West62814
Visiwa vya Coral Seaeneo ya ng'ambo(Kisiwa cha Willis)410
Kisiwa cha Heard na Visiwa vya McDonaldHMeneo ya ng'ambo(Atlas Cove)0372
Jervis Bay TerritoryJBTeneo(Jervis Bay Village)61170
New South WalesAU-NSWNSWjimboSydney6,967,200800,642
Kisiwa cha NorfolkNFeneo ya ng'amboKingston2,11435
Northern TerritoryAU-NTNTeneoDarwin219,9001,349,129
QueenslandAU-QLDQLDjimboBrisbane4,279,4001,730,648
Australia KusiniAU-SASAjimboAdelaide1,601,800983,482
TasmaniaAU-TASTASjimboHobart500,00168,401
VictoriaAU-VICVICjimboMelbourne5,297,600227,416
Australia ya MagharibiAU-WAWAjimboPerth2,163,2002,529,875


Marejeo

hariri
  1. ISO 3166-2:AU (ISO 3166-2 codes for the states and territories of Australia)

Tazama pia

hariri