Lafudhi
Lafudhi ni namna ya pekee ya kutamka lugha kutokana na lugha ya mwanzo/awali ya mzungumzaji au eneo alipojifunza lugha.
Mara nyingi watu wanaweza kusikia kutokana na matamshi kama msemaji ni mgeni kutoka nchi fulani au kama anatokea mji fulani kama ni mwenyeji.
Tazama pia hariri
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lafudhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaZuhura YunusShairiKamusi za KiswahiliNikki wa PiliMshororoNahauTanzaniaAina za manenoOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya makabila ya TanzaniaNembo ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaFasihi simuliziJumuiya ya Afrika MasharikiNominoDiamond PlatnumzTamthiliaSentensiKumaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNgeliKalenda ya KiislamuKisaweUandishi wa inshaFasihiVivumishiMaumivu ya kiunoMisemoInsha ya wasifuAlama ya uakifishajiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMapenzi ya jinsia mojaVitendawiliMadawa ya kulevyaVitenzi vishirikishi vikamilifuKamusi