Kievenki
Kievenki ni lugha ya Kitungusi nchini Uchina, Urusi na Mongolia inayozungumzwa na Waevenki. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kievenki nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 11,000. Pia kuna wasemaji 4800 nchini Urusi (2010) na 1000 nchini Mongolia (1992). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kievenki iko katika kundi la Kitungusi ya Kaskazini. Nchini uchina Kievenki huandikwa na alfabeti ya Kimongoli. Nchini Urusi, Kievenki imeandikwa na alfabeti ya Kikirili tangu 1937.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kievenki kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kievenki Archived 8 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kievenki katika Glottolog
- lugha ya Kievenki kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kievenki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSilvestry Fransis KokaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaKumaClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMbooAina za manenoShairiVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaVichekeshoYoung Africans S.C.Mpira wa miguuOrodha ya nchi za AfrikaUandishi wa ripotiMaalum:MabadalikoyaKaribuniOrodha ya Marais wa ZanzibarTendo la ndoaMapenziNominoKamusi za KiswahiliEe Mungu Nguvu YetuSimba S.C.Hifadhi ya mazingiraHurumaMisemoJulius NyerereOrodha ya vitabu vya BibliaBaraza la Maaskofu Katoliki Tanzania