Alfabeti ya Kimongoli
Alfabeti ya Kimongoli ni aina ya mwandiko unaotumiwa kuandika lugha chache nchini Uchina na Mongolia kama vile Kimongoli, Kimanchu au Kievenki. Ni alfabeti kweli kwa sababu hutumia herufi tofauti kwa irabu na konsonanti.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Alfabeti ya Kimongoli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaUtatuShairiMikoa ya TanzaniaNembo ya TanzaniaKumaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoLigi ya Mabingwa AfrikaDiamond PlatnumzStephane Aziz KiKombe la F.A.Aina za manenoOrodha ya makabila ya TanzaniaMaumivu ya kiunoSimba S.C.Fasihi simuliziMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaAmri KumiUwanja wa Taifa (Tanzania)MshororoKamusi za KiswahiliHistoria ya KanisaMaalum:MabadalikoyaKaribuniMbooKiswahiliVita Kuu ya Pili ya DuniaJumuiya ya Afrika MasharikiMisemoShinikizo la juu la damuMapenzi ya jinsia mojaVirusi vya CoronaLughaOrodha ya vitabu vya BibliaMafuriko