Ibrahim Babangida
Jenerali Ibrahim Badamasi Babangida (amezaliwa 17 Agosti, 1941), kiumaarufu anajulikana kama IBB, Alikuwa rais wa '8' pia alikuwa kiongozi wa kijeshi wa nchini Nigeria kuanzia mwezi wa Agosti mwaka 1985 hadi safari yake ilipofika ya kutoka ofisini kinguvu, Kutokana na msukumo mzito wa watu wenye kudai demokrasia ya kweli mnamo mwaka 1993, Baada ya kuanguka katika uchaguzi mkubwa uliofanyika mwaka huo. Uchaguzi huo ulikuwa wa huru na haki katika historia ya Nigeria toka wapate uhuru.Babangida alitanguliwa na rais Muhammadu Buhari, Kisha akafuatiwa na Ernest Shonekan.
Viungo vya Nje
hariri- Maktaba ya Kongamano za Ustadi wa nchi -Marekani - Serikali ya Babangida Archived 29 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
- Babangida katika uchaguzi wa 2007 Archived 7 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ibrahim Babangida kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNembo ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAloysius GonzagaKumaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaShairiDiamond PlatnumzKamusi za KiswahiliFasihi simuliziAina za manenoSimba S.C.Maumivu ya kiunoBaraKitenzi kishirikishiVita Kuu ya Pili ya DuniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMawasilianoVichekeshoUzazi wa mpango kwa njia asiliaJohn MagufuliMbooNominoMofimuUandishi wa ripotiKamusiSentensiTendo la ndoaKiswahiliJumuiya ya Afrika MasharikiZuchuMshororoHistoria ya KanisaMisemo