Makala hii inahusu filamu ya Walt Disney. Kwa kata ya Wilaya ya Kati, tazama Bambi (Unguja Kati).

Bambi
Imeongozwa naDavid Dodd Hand
Imetayarishwa naWalt Disney
Imetungwa naLarry Morey
Perce Pearce
Gustaf Tenggren
NyotaBobby Stewart
Donnie Dunagan
Hardie Albright
John Sutherland
Paula Winslowe
Peter Behn
Tim Davis
Sam Edwards
Will Wright
Cammie King
Ann Gillis
Fred Shields
Stan Alexander
Sterling Holloway
Imesambazwa naRKO Radio Pictures
Ina muda wa dk.Dk. 70
LughaKiingereza
Mapato yote ya filamu267,447,150
Ikafuatiwa naBambi II (2006)

Bambi ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 1942. Filamu ilitayarishwa na Walt Disney, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 13 Agosti 1942 na Walt Disney Pictures. Hii ni ya 5 kutolewa kwa mujibu wa orodha ya filamu za katuni za Walt Disney. Filamu inatokana na kitabu cha Felix Salten chenye jina sawa na hili la filamu hii.

Hadithi ni kuhusu mtoto wa kulungu, jina lake Bambi, ambaye anajifunza kukua katika pori baada ya mama yake kuuawa kwa risasi na wawindaji.

Washiriki

hariri

Marejeo

hariri

Viuongo vya nje

hariri
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: