William Moerner
William Esco Moerner (amezaliwa 24 Juni, 1953) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mambo ya hadubini kwa ajili ya kuonekanisha molekuli moja peke yake. Mwaka wa 2014, pamoja na Stefan Hell na Eric Betzig, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu William Moerner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoSiku ya Mtoto wa AfrikaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaLucy KombaTanzaniaMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMapenzi ya jinsia mojaIdd el HajjDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoOrodha ya Watakatifu WakristoSiku ya ArafahSimba S.C.BaraLuhaga Joelson MpinaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaJohn MagufuliKamusi za KiswahiliVita Kuu ya Pili ya DuniaTendo la ndoaKalenda ya KiislamuShairiUzazi wa mpango kwa njia asiliaHistoria ya KanisaMbooMapenziFasihi simuliziMuda sanifu wa duniaVichekeshoYoung Africans S.C.MofimuTafsiriAmri Kumi