Watoto askari
watoto wanaohusishwa na mashirika ya kijeshi
Watoto askari ni watu wenye umri chini ya miaka 18 (kadiri ya Convention on the Rights of the Child) wamekuwa ambao wakipitia mafunzo ya kushiriki katika operesheni za kijeshi na kampeni katika historia na tamaduni mbalimbali.[1]
Watoto askari hujumuisha waliopo katika jeshi la nchi linalotumia silaha, Jeshi lisilo la nchi litumialo silaha na mashirika mengine ya kijeshi, wanaweza kufunzwa kwa ajili ya mapambano, kupewa majukumu ya kusaidia kama wachukuzi au wajumbe, au kutumiwa kwa ajili ya faida za kimbinu kama ngao ya binadamu au propaganda za kisiasa.[2][3]
Marejeo hariri
- ↑ https://ui.adsabs.harvard.edu/abs/1997BuAtS..53f..32W
- ↑ "Children at war". HistoryExtra (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2016-10-30. Iliwekwa mnamo 2022-11-26.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaZuhura YunusMaalum:MabadalikoyaKaribuniMizimuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaShairiTanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaAina za manenoKamusi za KiswahiliMaumivu ya kiunoOrodha ya Watakatifu WakristoVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaAmri KumiFasihi simuliziMohammed Gulam DewjiKumaNikki wa PiliDiamond PlatnumzNembo ya TanzaniaKiswahiliYoung Africans S.C.Uzazi wa mpango kwa njia asiliaMbooMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUandishi wa ripotiSimba S.C.Historia ya KanisaTendo la ndoaShinikizo la juu la damuJohn MagufuliWilaya za TanzaniaNahau