Shatt al Arab
Shat al Arab (Kiarabu: شط العرب shatt al arab "Mto Arabu") au kwa jina la Kiajemi Arvand Rud (اروندرود arvand rud "Mto Arvand") ni mto unaounganisha mito ya Hidekeli na Frati kabla ya kuishia katika Ghuba ya Uajemi.
Unaanza mahali nchini Irak ambako mito ya Hidekeli na Frati inaungana ukiendelea kwa kilomita 200 hadi baharini. Sehemu ya mwisho mto ni mpaka kati ya Irak na Uajemi.
Miji mikubwa kando la mto ni Basra upande wa Irak halafu Khorramshahr na Abadan upande wa Uajemi.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSiku ya Mtoto wa AfrikaNikki wa PiliShairiSiku ya ArafahNembo ya TanzaniaKumaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMshororoJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniSimba S.C.Zuhura YunusUandishi wa ripotiSentensiFasihi simuliziMaumivu ya kiunoKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaBaraAina za manenoOrodha ya nchi za AfrikaKalenda ya KiislamuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaJohn MagufuliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaTendo la ndoaHistoria ya KanisaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMbooVivumishiDiamond Platnumz