Schengen
Schengen ni kijiji huko Luxemburg. Ni sehemu ya tarafa ya Remich yenye wakazi 4833.
Mnamo mwaka 1985 Mkataba wa Schengen ulitiwa sahihi hapa iliyoondoa udhibiti wa mpakani kati ya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Schengen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaShairiMawasilianoEverest (mlima)Kamusi za KiswahiliOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya milima mirefu dunianiYoung Africans S.C.UtandawaziMaumivu ya kiunoWilaya za TanzaniaMapenziOrodha ya makabila ya TanzaniaFasihi simuliziUandishi wa ripotiVivumishiNahauOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaAfrikaSimba S.C.Hassan MwakinyoAina za manenoMaalum:MabadalikoyaKaribuniNembo ya TanzaniaJohn MagufuliHistoria ya KanisaUzazi wa mpango kwa njia asiliaJumuiya ya Afrika MasharikiLughaUtatuWikipedia:Msaada wa kuanzisha makala