Sabah
Sabah ni jimbo mojawapo kati ya 13 yanayounda shirikisho la Malaysia; liko kaskazini mwa kisiwa cha Borneo pamoja na jimbo la Sarawak, wakati majimbo mengine yote yako Asia bara.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/9/95/Pengalat-Besar_Sabah_Pengalat-Railway-Tunnel-05.jpg/280px-Pengalat-Besar_Sabah_Pengalat-Railway-Tunnel-05.jpg)
Mji mkuu ni Kota Kinabalu.
Hakuna kabila kubwa lenye watu zaidi ya asilimia 50 katika eneo lote.
Upande wa dini, serikali imechangia sana uenezi wa Uislamu hata ukatangazwa dini rasmi.
Viungo vya nje
hariri🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLucy KombaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSiku ya ArafahSiku ya Mtoto wa AfrikaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniLuhaga Joelson MpinaKumaDiamond PlatnumzTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaKamusi za KiswahiliSimba S.C.Orodha ya Watakatifu WakristoNikki wa PiliKalenda ya KiislamuMaumivu ya kiunoMbooShairiNembo ya TanzaniaAmri KumiVita Kuu ya Pili ya DuniaTendo la ndoaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Orodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaJohn MagufuliHistoria ya KanisaMofimuIdd el HajjOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya miji ya kale ya WaswahiliMapenzi ya jinsia mojaOrodha ya Marais wa TanzaniaFasihi simuliziOrodha ya Marais wa Zanzibar