Rupert Murdoch
'
Rupert Murdoch | |
---|---|
Keith Rupert Murdoch mnamo 2012 | |
Amezaliwa | 11 Machi 1931 |
Kazi yake | mjasiriamali wa vyombo vya habari kutoka nchini Australia |
Rupert Keith Murdoch (alizaliwa 11 Machi 1931) ni mjasiriamali wa vyombo vya habari kutoka nchini Australia.
Anamiliki kampuni ya News Corporation yenye mamia ya magazeti, vituo vya redio na televisheni kote duniani, hasa kwa lugha ya Kiingereza. Media zake ni pamoja na magazeti ya The Sun na The Times (Uingereza), The Daily Telegraph, Sky News Australia, Herald Sun na The Australian (Australia), Fox News, The Wall Street Journal na New York Post (Marekani). Aliwahi kumiliki pia Runinga ya Sky (hadi 2018) na kampuni ya filamu 21st Century Fox (hadi 2019). [1]
Marejeo hariri
- ↑ "PowerPoint Presentation" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 16 Septemba 2010. Iliwekwa mnamo 11 Julai 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rupert Murdoch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNahauWafiadini wa UgandaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNembo ya TanzaniaKamusi za KiswahiliAina za manenoNgeliKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaTamthiliaMshororoUandishi wa ripotiVivumishiNominoFasihi simuliziKarolo LwangaInsha ya wasifuOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKisaweSilabiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaHifadhi ya mazingiraDiamond PlatnumzMisemoJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiKitenzi kishirikishiMazingiraKombe la FA TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUandishi wa inshaMaumivu ya kiuno