Rais wa Ufini
Rais wa Ufini ni mkuu wa nchi wa jamhuri ya Ufini. Jamhuri hiyo imekuwa na marais kumi na wawili.[1] Rais wa Ufini huongoza sera ya kigeni pamoja na baraza la jimbo. Anaongoza jeshi wa Ufini pia.[2]
Orodha ya marais wa Ufini[3]
Kaarlo Juho Ståhlberg (1919 - 1925)
Lauri Kristian Relander (1925 - 1931)
Pehr Evind Svinhufvud (1931 - 1937)
Kyösti Kallio (1937 - 1940)
Risto Heikki Ryti (19.12.1940 - 1943 na 1943 - 1944)
Carl Gustaf Emil Mannerheim (4.8.1944 - 8.3.1946)
Juho Kusti Paasikivi (1946 - 1956)
Urho Kaleva Kekkonen (1956 - 1981)
Mauno Henrik Koivisto (1981 vuli na 1982 - 1994)
Martti Ahtisaari (1994 - 2000)
Tarja Halonen (2000 - 2012)
Sauli Niinistö (2012 -)
Tanbihi
hariri- ↑ "Suomen presidentit". Suomen presidentit (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12.
- ↑ Edita Publishing Oy. "FINLEX ® - Ajantasainen lainsäädäntö: Suomen perustuslaki 731/1999". finlex.fi (kwa Kifini). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-10-09. Iliwekwa mnamo 2023-04-12.
- ↑ "Suomen presidentit". Suomen presidentit (kwa Kifini). Iliwekwa mnamo 2023-04-12.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoSiku ya Mtoto wa AfrikaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaLucy KombaTanzaniaMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMapenzi ya jinsia mojaIdd el HajjDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoOrodha ya Watakatifu WakristoSiku ya ArafahSimba S.C.BaraLuhaga Joelson MpinaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaJohn MagufuliKamusi za KiswahiliVita Kuu ya Pili ya DuniaTendo la ndoaKalenda ya KiislamuShairiUzazi wa mpango kwa njia asiliaHistoria ya KanisaMbooMapenziFasihi simuliziMuda sanifu wa duniaVichekeshoYoung Africans S.C.MofimuTafsiriAmri Kumi