Papa Leo X
Papa Leo X (11 Desemba 1475 – 1 Desemba 1521) alikuwa Papa kuanzia tarehe 11/19 Machi 1513 hadi kifo chake[1]. Alitokea Firenze, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni di Lorenzo de' Medici.
Alimfuata Papa Julius II akafuatwa na Papa Adrian VI.
Leo X ndiye aliyemtenga Martin Luther na Kanisa Katoliki tarehe 3 Januari 1521.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNahauWafiadini wa UgandaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNembo ya TanzaniaKamusi za KiswahiliAina za manenoNgeliKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaTamthiliaMshororoUandishi wa ripotiVivumishiNominoFasihi simuliziKarolo LwangaInsha ya wasifuOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKisaweSilabiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaHifadhi ya mazingiraDiamond PlatnumzMisemoJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiKitenzi kishirikishiMazingiraKombe la FA TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUandishi wa inshaMaumivu ya kiuno