Oleh Protasov

Oleh Protasov (alizaliwa 4 Februari 1964) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Ukraine. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Umoja wa Kisovyeti na timu ya taifa ya Ukraine.

Protasov ameichezea timu ya taifa ya Umoja wa Kisovyeti tangu mwaka wa 1984. Protasov alicheza Umoja wa Kisovyeti na Ukraine katika mechi 69, akifunga mabao 29.[1]

Takwimu hariri

[1]

Timu ya Taifa ya Umoja wa Kisovyeti
MwakaMechiMagoli
198452
1985128
198630
198792
19881810
198983
1990113
199121
Jumla6829
Timu ya Taifa ya Ukraine
MwakaMechiMagoli
199410
Jumla10

Tanbihi hariri

  1. 1.0 1.1 Oleh Protasov at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oleh Protasov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.