New England Revolution

New England Revolution, pia inajulikana kama Revs, ni kilabu maarufu ya mpira wa miguu kutoka nchini Marekani.

Nembo ya kilabu ya mpira wa miguu ya New England Revolution.

Kilabu hii uchezea sana katika uwanja wao wa nyumbani maarufu kama Gillette Stadium katika Foxboro, Massachusetts, karibu na Boston.

Viungo vya nje hariri

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu New England Revolution kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.