Mtangawizi
Mtangawizi | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mitangawizi | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mtangawizi (jina la kisayansi: Zingiber officinale) ni mmea wa familia Zingiberaceae katika ngeli ya Monokotiledoni. Mizizi yake yanayoitwa tangawizi hutumika kama kiungo katika chakula na unga wake hutumika katika vinywaji na katika chakula pia.
Matumizi ya tangawizi hariri
Tangawizi (kwa Kilatini zingiberis rhizoma; kwa Kiingereza: ginger (root)) ina umbo kama la mzizi wa manjano na yote miwili hutumika kama viungo katika chakula.
Tangawizi huwa na utomvu wenye mafuta na kampaundi zinazofanya ukali wake. Utafiti wa kisasa umegundua tagawizi inaweza kusaidia kwenye matatizo ya utumbo na kuzuia kutapika[1].
Imetazamiwa tangawizi inapunguza maumivu ya viungo vilivyoathiriwa na rumatizimu na athritisi[2].
Picha hariri
- Majani
- Brakti za maua
- Maua yaliyotoka
- Mizizi
- Tangawizi
- Unga wa tangawizi
Marejeo hariri
- ↑ Effects of ginger on motion sickness and gastric slow-wave dysrhythmias induced by circular vection.
- ↑ JK. Kim, Y. Kim, KM. Na, YJ. Surh, TY. Kim: [6-Gingerol prevents UVB-induced ROS production and COX-2 expression in vitro and in vivo]. In: Free Radic Res. 2007, 41 (5), pp. 603–614
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtangawizi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaZuhura YunusMaalum:MabadalikoyaKaribuniMizimuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaShairiTanzaniaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaAina za manenoKamusi za KiswahiliMaumivu ya kiunoOrodha ya Watakatifu WakristoVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaAmri KumiFasihi simuliziMohammed Gulam DewjiKumaNikki wa PiliDiamond PlatnumzNembo ya TanzaniaKiswahiliYoung Africans S.C.Uzazi wa mpango kwa njia asiliaMbooMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUandishi wa ripotiSimba S.C.Historia ya KanisaTendo la ndoaShinikizo la juu la damuJohn MagufuliWilaya za TanzaniaNahau