Mohamed Hussein
Mohamed Hussein Zimbwe Jr anajulikana kama Tshabalala, alizaliwa 11 Januari 1992 ni Mtanzania na mchezaji wa mpira wa miguu,anayechezea timu ya Simba S.C. na timu ya Taifa ya Tanzania.
Kimataifa hariri
Alicheza mechi yake ya kwanza na timu ya taifa tarehe 22 Novemba 2015 katika mchezo wa 2015 CECAFA Cup dhidi ya Somalia.[1]Alichaguliwa katika kikosi cha Kombe la Mataifa ya Afrika la 2019.
Marejeo hariri
- ↑ .national-football-teams.com/matches/report/14301/Tanzania_Somalia.html "Tanzania v Somalia ripoti ya mchezo". National Football Teams. 22 Novemba 2015.
{{cite web}}
: Check|url=
value (help)
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya makabila ya TanzaniaJamii:RomaniaZuhura YunusMafurikoShairiMikoa ya TanzaniaInsha ya wasifuDiamond PlatnumzHifadhi ya mazingiraKumaKenyaTanzaniaMaumivu ya kiunoHaki za watotoMadawa ya kulevyaAmri KumiKamusi za KiswahiliTendo la ndoaMazingiraUkimwiMisemoAina za manenoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaSimba S.C.Orodha ya vitabu vya BibliaNahauMaalum:MabadalikoyaKaribuniMapenziTungo kiraiVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaFasihi simuliziSilabiUandishi wa insha