Mkoa wa Yozgat
Yozgat ni mkoa uliopo katikati mwa nchi ya Uturuki. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Çorum kwa upande wa kaskazini-magharibi, Kırıkkale kwa upande wa magharibi, Kırşehir kwa upande wa kusini-magharibi, Nevşehir kwa upande kusini, Kayseri kwa upande wa kusini-mashariki, Sivas kwa upande wa mashariki, Tokat kwa upande wa kaskazini-mashariki, na Amasya kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wake ni Yozgat.
Mkoa wa Yozgat | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Yozgat nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Kati |
Eneo: | 14,123 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 727,394 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 66 |
Kodi ya eneo: | 0354 |
Tovuti ya Gavana | http://www.yozgat.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/yozgat |
Wilaya za mkoani hapa hariri
Mkoa wa Yozgat umegawanyika katika wilaya 14 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Yozgat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaPentekosteJumuiya ya Afrika MasharikiNembo ya TanzaniaShinikizo la juu la damuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoShairiAina za manenoRoho MtakatifuKumaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKamusi za KiswahiliTanganyikaDiamond PlatnumzVieleziVivumishiHistoria ya KanisaVipaji vya Roho MtakatifuMaumivu ya kiunoSentensiSimba S.C.Fasihi simuliziMshororoNominoDuniaUandishi wa ripotiAfrika Mashariki 1800-1845TamthiliaNgeliNdubwiTendo la ndoaTarakilishiOrodha ya Watakatifu Wakristo