Mkoa wa Kara
Mkoa wa Kara ni mojawapo ya mikoa mitano ya Togo. makao makuu ya mkoa yako mjini Kara.
Mkoa una eneo la kilomita za mraba 11,738. Idadi ya wakazi imekadiriwa kufikia 957,600 kwenye mwaka 2020.[1]
Miji mingine katika eneo la Kara ni pamoja na Bafilo, Bassar, na Niamtougou .
Mkoa wa Kara umegawanywa katika wilaya za Assoli, Bassar, Bimah, Dankpen, Doufelgou, Keran, na Kozah .
Kara iko kaskazini mwa Mkoa wa Kati na kusini mwa Mkoa wa Savanes. Upande wa magharibi iko Ghana, na upande wa mashariki iko Benin .
Marejeo hariri
- ↑ https://www.citypopulation.de/en/togo/cities/ Togo-Regions, tovuti ya citypopulation.de
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoPentekosteUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaRoho MtakatifuVipaji vya Roho MtakatifuOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaShinikizo la juu la damuNembo ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaAina za manenoJumuiya ya Afrika MasharikiKamusi za KiswahiliShairiTendo la ndoaKumaOrodha ya Watakatifu WakristoMafurikoMaumivu ya kiunoDiamond PlatnumzVivumishiMapenziAmri KumiHistoria ya KanisaOrodha ya nchi za AfrikaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMapenzi ya jinsia mojaMisemoMpira wa miguuMshororoUzazi wa mpango kwa njia asiliaVita Kuu ya Pili ya DuniaTanganyikaMbooMaalum:MabadalikoyaKaribuniVirusi vya Corona