Mjukuu
wazazi wakipata mtoto, huyo mtoto nae akifikia umri wa kuweza kupata mtoto, mtoto atakayezaliwa anaitwa mjukuu
Mjukuu ni mtoto wa mwanao, bila kujali jinsia yako wala yake. Yeye anakuita babu au bibi.[1]
Mtoto wake tena anaitwa kitukuu, mtukuu au kusukuu.[1]
Katika Kiswahili ni maarufu mithali inayosema, "Majuto ni mjukuu", kwa maana mara nyingi jambo la hatari ulifanyapo kwa wakati husika, waweza kujuta baadaye.[2]
Marejeo hariri
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
- ↑ 1.0 1.1 "eLimu | Msamiati: Nasaba/ Ukoo". learn.e-limu.org. Iliwekwa mnamo 2022-04-12.
- ↑ Ngii, Jacline (2010-12-13). "Majuto Ni Mjukuu". Kiswahili Story Database (0).
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaShairiAina za manenoVivumishiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaSentensiKamusi za KiswahiliNembo ya TanzaniaNahauFasihi simuliziTanzaniaMshororoOrodha ya makabila ya TanzaniaKaswendeKisaweUandishi wa ripotiJumuiya ya Afrika MasharikiUkimwiMaalum:MabadalikoyaKaribuniKumaInsha ya wasifuAlama ya uakifishajiUsafi wa mazingiraVitenzi vishirikishi vikamilifuNominoFasihiZuhura YunusUzazi wa mpango kwa njia asiliaNgeliVitendawiliVieleziOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTarakilishiMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaTamthilia