Miyazaki, Miyazaki
mji katika mkoa wa Miyazaki, Japani
Miyazaki (宮崎市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Miyazaki. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 370 000 wanaoishi katika mji huu.
Miyazaki | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Kyushu | ||
Mkoa | Miyazaki | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 369,244 | ||
Tovuti: www.city.miyazaki.miyazaki.jp |
Viungo vya nje hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Miyazaki, Miyazaki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoOrodha ya makabila ya TanzaniaJamii:RomaniaZuhura YunusMafurikoShairiMikoa ya TanzaniaInsha ya wasifuDiamond PlatnumzHifadhi ya mazingiraKumaKenyaTanzaniaMaumivu ya kiunoHaki za watotoMadawa ya kulevyaAmri KumiKamusi za KiswahiliTendo la ndoaMazingiraUkimwiMisemoAina za manenoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaSimba S.C.Orodha ya vitabu vya BibliaNahauMaalum:MabadalikoyaKaribuniMapenziTungo kiraiVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya Magavana wa TanganyikaFasihi simuliziSilabiUandishi wa insha