Mercedes Benz
Mercedes Benz ni kampuni kubwa ya magari inayojihusisha na utengenezaji wa magari madogo, malori, mabasi n.k.
Makao makuu yako Stuttgart, Baden-Württemberg, Ujerumani.
Jina Mercedes Benz lilitokea mnamo mwaka 1926 kutoka kwa Daimler Benz.
Historia hariri
Mercedes Benz ni gari la kwanza la petroli lililotengenezwa na Karl Benz, Benz Patent Motorwagen, kutokana na ufadhili wa na Bertha Benz na kupewa hatimiliki Januari 1886. Gari hili liliuzwa kwa mara ya kwanza mwaka wa 1901 na kampuni ya Daimler-Motoren-Gesellschaft.
Ni gari ambalo mara nyingi huuzwa kwa bei kubwa sana na yamezoeleka sana Marekani na nchi zilizoendelea kiuchumi. Kuna aina nyingi za magari kama hayo, kama vile yenye milango sita, minne, na mengine marefu,
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLeonard MbotelaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKimbungaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaKumaNembo ya TanzaniaShairiMustafa MkuloAmri KumiFasihi simuliziKiswahiliAina za manenoVita Kuu ya Pili ya DuniaMtaalaMaalum:MabadalikoyaKaribuniMaumivu ya kiunoKamusi za KiswahiliOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaVitendawiliOrodha ya Watakatifu WakristoUpendoChristina ShushoMafurikoHistoria ya KanisaDiamond PlatnumzJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya nchi za AfrikaKamusi ya Kiswahili sanifuKinembe (anatomia)KisaweLughaFasihiTendo la ndoaKamusi