Mekelle
Mekelle ni mji mkuu wa jimbo la Tigray katika Ethiopia ya kaskazini. Iko takriban km 650 kaskazini kwa Addis Ababa. Idadi ya wakazi ilikadiriwa mwaka 2016 kuwa 441,991.
Kuna chuo kikuu kinachotoa masomo hasa ya kilimo na uchumi.
Historia hariri
Mekelle ilianzishwa kama mji mkuu wa Kaisari Yohanne IV katika karne ya 19. Imeendelea kukua kuwa kitovu cha kiuchumi na kiutawala cha Tigray.
Tazama pia hariri
Viungo vya Nje hariri
- Ethiopian Treasures - The castle of Emperor Yohannes IV Archived 29 Juni 2006 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ethiopia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mekelle kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaLigi ya Mabingwa UlayaNahauTanzaniaDiamond PlatnumzKamusi za KiswahiliUwanja wa WembleyOrodha ya makabila ya TanzaniaVirusi vya CoronaMaumivu ya kiunoKiswahiliAmri KumiSimba S.C.Orodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUtandawaziOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaYoung Africans S.C.Nembo ya TanzaniaOrodha ya milima mirefu dunianiMpira wa miguuStephane Aziz KiFasihi simuliziVita Kuu ya Pili ya DuniaMapenzi ya jinsia mojaMisemoShairiHistoria ya KanisaHifadhi ya mazingiraMaalum:MabadalikoyaKaribuniAina za manenoZuchuEverest (mlima)Lugha