Marjarini
Marjarini (kutoka Kiingereza "Margarine") ni mafuta ya kuliwa yaliyobuniwa kama mbadala wa siagi. Iko katika hali laini kiasi, ili iweze kupakuliwa kwa jotoridi la wastani. [1] Hutengenezwa kwa kutumia uto (mafuta ya mimea) au pia kwa kutumia mafuta ya nyama. Inaweza pia kuwa na unga wa maziwa, chumvi na dawa ya emulshani. Marjarini hutumiwa katika vyakula vingi vilivyookwa kiwandani.
Marjarini ilibuniwa pale Ufaransa katika miaka ya 1860, wakati serikali ilitafuta mafuta mbadala kwa ajili ya jeshi yasiyoharibika haraka.[2] [3].
Katika Afrika ya Mashariki marjarini hujulikana mara nyingi kwa jina la blubendi (blue band) kutokana na rajamu ya marjarini inayouzwa sana.
Marejeo hariri
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marjarini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoShairiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNahauWafiadini wa UgandaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNembo ya TanzaniaKamusi za KiswahiliAina za manenoNgeliKumaOrodha ya makabila ya TanzaniaTamthiliaMshororoUandishi wa ripotiVivumishiNominoFasihi simuliziKarolo LwangaInsha ya wasifuOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKisaweSilabiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaHifadhi ya mazingiraDiamond PlatnumzMisemoJumuiya ya Afrika MasharikiSentensiKitenzi kishirikishiMazingiraKombe la FA TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUandishi wa inshaMaumivu ya kiuno