Klausura
Klausura (kutoka Kilatini "clausura", yaani "ufungizi"; kwa Kiingereza "cloister"[1]) ni eneo la nyumba ya watawa ambamo watu wa nje hawawezi kuingia bila kutimiza masharti maalumu.
Mara nyingine katika monasteri za kike taratibu hizo zinazuia pia watawa wasitoke nje bila sababu kubwa.
Tanbihi hariri
- ↑ http://www.newadvent.org/cathen/04060a.htm Cloister in the Catholic Encyclopedia (1917)
Viungo vya nje hariri
- http://www.vatican.va/roman_curia/congregations/ccscrlife/documents/rc_con_ccscrlife_doc_13051999_verbi-sponsa_en.html Hati Verbi Sponsa
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Klausura kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaNembo ya TanzaniaShairiKoaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoJumuiya ya Afrika MasharikiTanzaniaMikoa ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKumaMaumivu ya kiunoEverest (mlima)Orodha ya makabila ya TanzaniaFasihi simuliziUandishi wa ripotiMshororoVirusi vya CoronaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKamusi za KiswahiliMaudhuiMaalum:MabadalikoyaKaribuniTarakilishiVivumishiDuniaAina za manenoTanganyikaKiswahiliKamusi ya Kiswahili sanifuAlama ya uakifishajiUkimwiFasihiSentensiKamusiMfumo wa JuaDiamond PlatnumzMisemoOrodha ya Watakatifu Wakristo