Kinauru
Kinauru ni lugha ya Kiaustronesia nchini Nauru inayozungumzwa na Wanauru. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kinauru imehesabiwa kuwa watu 6000 lakini idadi imeendelea kupungua. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinauru iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje hariri
- lugha ya Kinauru kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinauru Archived 14 Februari 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kinauru katika Glottolog
- lugha ya Kinauru kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinauru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaShairiMawasilianoEverest (mlima)Kamusi za KiswahiliOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya milima mirefu dunianiYoung Africans S.C.UtandawaziMaumivu ya kiunoWilaya za TanzaniaMapenziOrodha ya makabila ya TanzaniaFasihi simuliziUandishi wa ripotiVivumishiNahauOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaAfrikaSimba S.C.Hassan MwakinyoAina za manenoMaalum:MabadalikoyaKaribuniNembo ya TanzaniaJohn MagufuliHistoria ya KanisaUzazi wa mpango kwa njia asiliaJumuiya ya Afrika MasharikiLughaUtatuWikipedia:Msaada wa kuanzisha makala