Kikashmiri
Kikashmiri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Pakistan inayozungumzwa na Wakashmiri. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikashmiri nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 6,797,587. Pia kuna wasemaji 350,000 nchini Pakistan (2017). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikashmiri iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje hariri
- lugha ya Kikashmiri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikashmiri Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikashmiri katika Glottolog
- lugha ya Kikashmiri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikashmiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLeonard MbotelaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaKimbungaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaKumaNembo ya TanzaniaShairiMustafa MkuloAmri KumiFasihi simuliziKiswahiliAina za manenoVita Kuu ya Pili ya DuniaMtaalaMaalum:MabadalikoyaKaribuniMaumivu ya kiunoKamusi za KiswahiliOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaVitendawiliOrodha ya Watakatifu WakristoUpendoChristina ShushoMafurikoHistoria ya KanisaDiamond PlatnumzJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya nchi za AfrikaKamusi ya Kiswahili sanifuKinembe (anatomia)KisaweLughaFasihiTendo la ndoaKamusi