Kiakha
Kiakha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar, Uchina, Laos na Uthai inayozungumzwa na Waakha. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiakha imehesabiwa kuwa watu 200,000 nchini Myanmar, 240,000 nchini Uchina, 66,100 nchini Laos na 56,600 nchini Uthai. Pia kuna wasemaji 1260 nchini Vietnam (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiakha iko katika kundi la Kichina.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiakha kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiakha Archived 10 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiakha katika Glottolog
- lugha ya Kiakha kwenye Ethnologue
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiakha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia