Jongoo
Jongoo | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Majongoo panda wakijamiiana | ||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||
| ||||||||
Ngazi za chini | ||||||||
Nusungeli: |
Majongoo ni aina za arithropodi wembamba na warefu katika ngeli Diplopoda ya nusufaila Myriapoda wenye miguu mingi. Wanafanana kijuujuu na tandu lakini hawa huenda mbio na hula wanyama wengine (invertebrati na vertebrati). Majongoo huenda polepole na hula dutu ya viumbehai, viani na kuvu.
Hata kama kwa Kiingereza majongoo huitwa millipedes (miguu elfu) na tandu huitwa centipedes (miguu mia), kwa ukweli wana idadi karibu sawa ya miguu: tandu wana miguu 16 hadi 300 na majongoo 36 hadi 750.
Spishi kadhaa za Afrika
hariri- Archispirostreptus gigas, Jongoo Panda (Giant African millipede)
- Kylindotherium leve, Jongoo-tufe wa Witrivier
- Phryssonotus brevicapensis, Jongoo-nywele wa Mlima wa Meza
- Sphaerotherium giganteum, Jongoo-tufe Kusi
- Spirostreptus seychellarum, Jongoo Panda wa Shelisheli
Picha
hariri- Jongoo panda
- Jongoo-nywele wa Mlima wa Meza
- Jongoo panda wa Shelisheli
- Majongoo wakijamiiana
![]() | Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jongoo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSiku ya Mtoto wa AfrikaNikki wa PiliShairiSiku ya ArafahNembo ya TanzaniaKumaMikoa ya TanzaniaTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKamusi za KiswahiliMshororoJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniSimba S.C.Zuhura YunusUandishi wa ripotiSentensiFasihi simuliziMaumivu ya kiunoKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaBaraAina za manenoOrodha ya nchi za AfrikaKalenda ya KiislamuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaJohn MagufuliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaTendo la ndoaHistoria ya KanisaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMbooVivumishiDiamond Platnumz