Jennifer Doudna
Jennifer Anne Doudna (amezaliwa Februari 19, 1964) [1] ni mkemia wa Marekani ambaye amefanya kazi za mwanzo katika kugundua teknolojia ya uhariri jeni kwa kutumia Njia ya ''CRISPR'' pamoja na michango mingine ya muhimu kwenye tasnia za biokemia na jenetiki.
Doudna ni mmoja wa wanawake wa kwanza kupokea tuzo ya Nobel katika sayansi. Alipokea Tuzo ya Nobel katika Kemia mwaka 2020 pamoja na Emmanuelle Charpentier "kwa ajili ya kutafiti mbinu ya uhariri wa jenomu." [2]
Doudna ni professa wa chansela ya Li Ka Shing katika idara ya kemia na idara ya biolojia ya molekuli na seli katika Chuo Kikuu cha California, Berkeley. Pia amekuwa Mtafiti katika Taasisi ya Matibabu ya Howard Hughes tangu mwaka 1997. [3]
Tanbihi
hariri- ↑ "Jennifer Doudna – American biochemist". Encyclopædia Britannica Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 7, 2020. Iliwekwa mnamo Novemba 13, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Press release: The Nobel Prize in Chemistry 2020". nobelprize.org. Nobel Foundation. Oktoba 7, 2020. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 15, 2021. Iliwekwa mnamo Oktoba 7, 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Curriculum Vitae (Jennifer A. Doudna)" (PDF). Lawrence Berkeley National Laboratory. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo Januari 15, 2017. Iliwekwa mnamo Oktoba 24, 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoLucy KombaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSiku ya ArafahSiku ya Mtoto wa AfrikaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniLuhaga Joelson MpinaKumaDiamond PlatnumzTanzaniaOrodha ya makabila ya TanzaniaKamusi za KiswahiliSimba S.C.Orodha ya Watakatifu WakristoNikki wa PiliKalenda ya KiislamuMaumivu ya kiunoMbooShairiNembo ya TanzaniaAmri KumiVita Kuu ya Pili ya DuniaTendo la ndoaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Orodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaJohn MagufuliHistoria ya KanisaMofimuIdd el HajjOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya miji ya kale ya WaswahiliMapenzi ya jinsia mojaOrodha ya Marais wa TanzaniaFasihi simuliziOrodha ya Marais wa Zanzibar