Hun Sen (kwa Kikhmer: ហ៊ុន សែន; amezaliwa 5 Agosti 1952) ni mwanasiasa wa Kamboja ambaye amekuwa Waziri Mkuu wa Kamboja tangu mwaka 1985[1].

Hun Sen (2024).

Alijiweka madarakani kupitia vurugu za maneno na vitisho vya kifo.

Marejeo

hariri
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hun Sen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.