Duka
Duka ni mahali ambapo watu wanaweza kwenda kununua vitu wanavyovihitaji au wanavyotaka. Kuna vitu vingi ambavyo watu duniani wanaweza kununua dukani. Wanaweza kwenda dukani kununua chakula, nguo, samani, vitabu[1] na vitu vingine vingi.
Watu wanaweza pia kwenda kwenye duka la kutengeneza vifaa vilivyoharibika, na wanataka watengenezewe vifaa vyao. Kwa mfano, mtu anaweza kuleta baiskeli iliyoharibika kwenye duka la kutengeneza baiskeli.
Maduka makubwa yanaitwa pia supamaketi.
Maduka yanaweza yakawa makubwa na hata hivyo faida yake ikawa ndogo.
Tanbihi hariri
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Duka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaShairiMawasilianoEverest (mlima)Kamusi za KiswahiliOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya milima mirefu dunianiYoung Africans S.C.UtandawaziMaumivu ya kiunoWilaya za TanzaniaMapenziOrodha ya makabila ya TanzaniaFasihi simuliziUandishi wa ripotiVivumishiNahauOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaAfrikaSimba S.C.Hassan MwakinyoAina za manenoMaalum:MabadalikoyaKaribuniNembo ya TanzaniaJohn MagufuliHistoria ya KanisaUzazi wa mpango kwa njia asiliaJumuiya ya Afrika MasharikiLughaUtatuWikipedia:Msaada wa kuanzisha makala