Chembeuzi za jinsia
Chembeuzi za jinsia (pia: kromosomu za jinsia, ing. sex chromosomes) ni mbili kati ya chembeuzi za binadamu na za wanyama mbalimbali zinazoongoza utengenezaji wa seli zote za mwili kadiri ya urithi wa wazazi unaotunzwa katika DNA.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/05/Types_of_sex_determination.png/220px-Types_of_sex_determination.png)
Hizo chembeuzi za jinsia kwa binadamu ni chembeuzi X na chembeuzi Y. Ndizo zinazosababisha mtu kuwa mwanamume au mwanamke, na vilevile wanyama mbalimbali kuwa wa kiume au wa kike.
Baba tu ana chembeuzi Y (pamoja na ile ya X) na hivyo anaweza kumrithisha mwanae, ambaye kwa njia hiyo atakuwa wa kiume.
Kumbe mama ana jozi la chembeuzi X asiweze kurithisha chembeuzi Y.
Ndiyo maana ni baba tu anayesababisha jinsia ya mtoto wao.
Viungo vya nje
hariri- Genetic Genealogy: About the use of mtDNA and Y chromosome analysis in ancestry testing
- Ensembl genome browser
- http://www.ncbi.nlm.nih.gov/mapview/maps.cgi?taxid=9606&chr=Y
- Human Genome Project Information—Human Chromosome Y Launchpad
- On Topic: Y Chromosome Archived 8 Mei 2012 at the Wayback Machine.—From the Whitehead Institute for Biomedical Research
- Nature—focus on the Y chromosome
- National Human Genome Research Institute (NHGRI)—Use of Novel Mechanism Preserves Y chromosome Genes
- Ysearch.org – Public Y-DNA database Archived 4 Januari 2011 at the Wayback Machine.
- Y chromosome Consortium (YCC) Archived 16 Januari 2017 at the Wayback Machine.
- NPR's Human Male: Still A Work In Progress
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chembeuzi za jinsia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAina za manenoKumaShairiKamusi za KiswahiliDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoInsha ya wasifuSimba S.C.Fasihi simuliziIdd el HajjTanzaniaOrodha ya Watakatifu WakristoHifadhi ya mazingiraMikoa ya TanzaniaMaalum:MabadalikoyaKaribuniKisaweNembo ya TanzaniaMapenziJohn Raphael BoccoMapenzi ya jinsia mojaTendo la ndoaVivumishiUandishi wa ripotiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMazingiraMpira wa miguuMshororoVitendawiliOrodha ya makabila ya TanzaniaMadawa ya kulevyaMasoud KipanyaKiswahiliNahauMofimuVita Kuu ya Pili ya Dunia