Bruno Petković
Bruno Petković (alizaliwa 16 Septemba 1994) ni mchezaji wa timu ya taifa ya Kroatia ambaye anacheza katika klabu ya Dinamo Zagreb.
Bruno Petković
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Kroatia |
Nchi anayoitumikia | Kroatia |
Jina halisi | Bruno |
Jina la familia | Petković |
Tarehe ya kuzaliwa | 16 Septemba 1994 |
Mahali alipozaliwa | Metković |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kikroatia |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Forward (association football) |
Muda wa kazi | 2013 |
Mchezo | Mpira wa miguu |
Kazi ya klabu hariri
Trapani na Bologna hariri
Mnamo Januari 2016 Petković alihamia Serie B nchini Italia katika klabu ya Trapani, kabla ya kurudi katika klabu ya Bologna katika ligi ya Serie A mnamo Januari 2017.
Dinamo Zagreb hariri
Mnamo tarehe 6 Agosti 2018, alijiunga na klabu ya Dinamo Zagreb kwa mkopo wa muda mrefu akiwa .
Kazi ya kimataifa hariri
Tarehe 11 Machi 2019 baada ya kucheza vizuri akiwa na klabu mbalimbali na akicheza katika Europa League, ambapo alicheza vizuri na kupokea tuzo ya mechi dhidi ya Viktoria Plzeň na Benfica.
Pia Bruno alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na Timu ya taifa ya Kroatia akiingia kama mbadala wa Marko Pjaca aliyejeruhiwa.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bruno Petković kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaLigi ya Mabingwa UlayaNahauTanzaniaDiamond PlatnumzKamusi za KiswahiliUwanja wa WembleyOrodha ya makabila ya TanzaniaVirusi vya CoronaMaumivu ya kiunoKiswahiliAmri KumiSimba S.C.Orodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUtandawaziOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaYoung Africans S.C.Nembo ya TanzaniaOrodha ya milima mirefu dunianiMpira wa miguuStephane Aziz KiFasihi simuliziVita Kuu ya Pili ya DuniaMapenzi ya jinsia mojaMisemoShairiHistoria ya KanisaHifadhi ya mazingiraMaalum:MabadalikoyaKaribuniAina za manenoZuchuEverest (mlima)Lugha