Bendera ya Monako
Bendera ya Monako ina milia miwili ya kulala ya nyekundu (juu) na nyeupe (chini).Rangi hizi mbili zimepatikana katika nembo ya familia ya Grimaldi tangu mwaka 1339.
![](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/ea/Flag_of_Monaco.svg/250px-Flag_of_Monaco.svg.png)
Muundo wa bendera uliopo ulianzishwa rasmi mwaka 1881.
Bendera ya mtemi na serikali
haririOfisi ya Mtemi na ofisi za serikali yake hutumia bendera inayoonyesha nembo la Monako.
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSilvestry Fransis KokaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaKumaClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMbooAina za manenoShairiVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaVichekeshoYoung Africans S.C.Mpira wa miguuOrodha ya nchi za AfrikaUandishi wa ripotiMaalum:MabadalikoyaKaribuniOrodha ya Marais wa ZanzibarTendo la ndoaMapenziNominoKamusi za KiswahiliEe Mungu Nguvu YetuSimba S.C.Hifadhi ya mazingiraHurumaMisemoJulius NyerereOrodha ya vitabu vya BibliaBaraza la Maaskofu Katoliki Tanzania