Antalya
Antalya (zamani ulikuwa unajulikana kama Adalia; kutoka Kigiriki: Αττάλεια, Attália) ni mji uliopo katika pwani ya Mediterranea, kusini-magharibi mwa Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Antalya.
Idadi ya wakazi waishio huku ni 775,157 (sensa ya mwaka 2007). Na kwa mujibu wa sensa ya mwaka wa 2008, idadi ya wakazi wa Antalya ni 798,507 (makisio).
Mji wa Antalya umezungukwa na milima.
Maendeleo katika nyanja za utalii, zimeanza tangu miaka ya 1970, na kuwekwa katika viwango vya kimataifa.
Viungo vya nje hariri
- WikiSatellite view of Antalya, WikiMapia
- Weather forecast Archived 21 Septemba 2008 at the Wayback Machine., Turkish Meteorology Service
- Antalya Web Site
- Antalya travel guide kutoka Wikisafiri
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Antalya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMikoa ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKumaShairiMawasilianoEverest (mlima)Kamusi za KiswahiliOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya milima mirefu dunianiYoung Africans S.C.UtandawaziMaumivu ya kiunoWilaya za TanzaniaMapenziOrodha ya makabila ya TanzaniaFasihi simuliziUandishi wa ripotiVivumishiNahauOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaAfrikaSimba S.C.Hassan MwakinyoAina za manenoMaalum:MabadalikoyaKaribuniNembo ya TanzaniaJohn MagufuliHistoria ya KanisaUzazi wa mpango kwa njia asiliaJumuiya ya Afrika MasharikiLughaUtatuWikipedia:Msaada wa kuanzisha makala