Angola Avante
Wimbo wa Taifa wa Angola
Angola Avante ("Nenda mbele, Angola") ni wimbo wa taifa wa Angola.
Rui Alberto Vieira Dias Mingas ndiye aliyetunga wimbo huo[1][2], huku mashairi yakitungwa na Manuel Rui Alves Monteiro. Ulipitishwa kama wimbo wa taifa mnamo mwezi Novemba 1975, wakati nchi ilipopata uhuru wake kutoka kwa Ureno. Maneno hayo yanarejelea matukio kadhaa muhimu ya Chama cha People's Movement for the Liberation of Angola (MPLA), ambacho kimekuwa madarakani tangu uhuru na kilikuwa chama pekee nchini Angola hadi mwaka 1992.
Marejeo
hariri🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaSilvestry Fransis KokaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaKumaClatous ChamaOrodha ya makabila ya TanzaniaTanzaniaDiamond PlatnumzMaumivu ya kiunoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMbooAina za manenoShairiVivumishiVita Kuu ya Pili ya DuniaOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaVichekeshoYoung Africans S.C.Mpira wa miguuOrodha ya nchi za AfrikaUandishi wa ripotiMaalum:MabadalikoyaKaribuniOrodha ya Marais wa ZanzibarTendo la ndoaMapenziNominoKamusi za KiswahiliEe Mungu Nguvu YetuSimba S.C.Hifadhi ya mazingiraHurumaMisemoJulius NyerereOrodha ya vitabu vya BibliaBaraza la Maaskofu Katoliki Tanzania